Arusha. Halmashauri ya Arusha Vijijini imehitimisha mwaka wa fedha 2023/2024 ikiwa na bakaa ya bajeti ya Sh3.374 bilioni, fedha ambazo zilichelewa kuwasili kutokana na changamoto ...
Geita. “Hakuna zaidi ya uzembe, kilichofanyika ni uzembe.” Hii ni kauli ya Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Geita, Azza Mtaita aliyoitoa akielezea mkwamo wa ujenzi wa Kituo cha Afya cha ...
Kwa jumla maswali hayo, yanaongeza shinikizo la kujulikana kwa wahusika, hatua walizochukuliwa dhidi yao, kuthibitisha kile kilichoelezwa na Rais Samia kuwa moto huo ulitokea kwa makusudi ...
Kwa mujibu wake Novemba 25, mwaka jana na kufanya naye mazungumzo kuhusu masuala ya uchaguzi, akamweleza kwamba hata Uchaguzi Mkuu wa 2020, aliandika pia kitabu kilichoelezea mambo 10 ya ...