Tarehe 24 January 2025 Rais Tshisekedi alikatiza ziara yake mjini Davos baada ya mapigano makali kuzuka nchini mwake.
Baada ya waasi wa M 23 kuingia jijini Goma Januari 26, na kusababisha makabiliano makali na wanajeshi wa serikali FARDC, ...
Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa na maafisa wa Afrika Kusini "wanapotosha ukweli," ...
Uingereza imeionya Rwanda kwamba kuhusika kwake na machafuko mashariki mwa Kongo kunaweza kuathiri msaada wa dola bilioni moja inaopokea kila mwaka, huku Rais Paul Kagame akiapa kukabiliana na Afrika ...
Serikali za Afrika Kusini na Rwanda zimeingia katika mzozo kutokana na vita vinavyoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
Wataalamu hao walisema Sultani Makenga, aliyepigana upande wa Kagame mwanzoni mwa miaka ya 1990 nchini Rwanda na sasa ni mkuu ...
Waandamanaji hao walikuwa wanadai hatua zichukuliwe dhidi ya mashambulizi ya waasi wa M23 katika mashariki mwa DRC.
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa amefanya mazungumzo ya tija na Katibu wa Marekani Marco Rubio na kuelewana kuhusu ...
RAIS wa Rwanda Paul Kagame amesema amekubaliana na serikali ya Marekani ya kusitisha mapigano mashariki mwa Jamhuri ya ...
Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema amekubaliana na serikali ya Marekani juu ya haja ya kusitisha mapigano mashariki mwa ...
RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amekutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kujadili kuongezeka kwa ghasia mashariki ...