KAMA kuna kitu kinasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Yanga kwenye soka la wanawake ni timu hiyo kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ambayo imekuwa ikiuota kila siku.
Nchi tatu zinazotawaliwa kijeshi za Niger Mali na Burkina Faso zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya kiuchumi na kisiasa ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS, baada ya kuwa wanachama kwa miongo mitano.