Muhtasari wa mpango wa kusitisha mapigano na kuachiliwa kwa mateka wa Gaza unaojadiliwa hivi sasa na Israel na Hamas katika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja huko Doha umekuwa mezani tangu Mei ...
Mdomo ni mahali ambapo sehemu nyingi za mwili wa mwanadamu hukutana. Kuna zaidi ya aina 700 za bakteria zinazojulikana, pamoja na vimelea, virusi na protozoa. Viumbe hivi vyote vinaweza kuonekana ...