Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli amewataka raia nchini humo kuwapuuza wanaodai Serikali inakopa sana. Kiongozi huyo alisema mikopo inayochukuliwa na taifa hilo ina manufaa na itachochea ukuaji ...
Walinda amani wa Tanzania wako DRC chini ya Kikosi cha walinda amani wa Umoja wa Mataifa cha kuimarisha amani kinachojulikana kama , 'Monusco.' Chanzo cha picha, AFP/GETTY Rais Magufuli ametoa ...