Mwaka 2015, Bulembo alizunguka nchi nzima kumnadi aliyekuwa Mgombea Urais wa wakati huo, Dk. John Magufuli akiwa Meneja wa Kampeni. Bulembo ni kada wa CCM mwenye msimamo thabiti, asiyekubali kuburuzwa ...
Baadhi ya barabara zenye foleni kama za Mandela, Morogoro, kituo cha mabasi cha Magufuli na vituo vingine kama Mbezi, Mbagala, Makumbusho vyote vya Dar es Salaam, si sehemu salama kuna hatari ya upofu ...