mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wanafuata wakiwa na pointi nne na TP Mazembe yenye pointi mbili inaburuza mkia. Yanga imebakiza mechi moja nyumbani dhidi ya MC Alger kutoka Algeria ...
Yanga inatarajiwa kuwa wenyeji wa Mazembe katika mechi ya Kundi A ya Ligi ya Mabingwa Afrika, itakayopigwa kuanzia saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam ikiwa ni wiki ...
WAWAKILISHI pekee wa nchi katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamesema mechi dhidi ya TP Mazembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DR Congo), itakayochezwa kesho kwenye ... baada ...