MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Aisha Masaka anayekipiga Brighton & Hove Albion ameondoka nchini baada ya likizo ya wiki moja na anatarajia kurejea uwanjani mwishoni mwa Februari kuuwahi mchezo wa Ligi ...
KAMPALA : UGANDA itazindua awamu ya tatu ya utoaji leseni ya utafiti wa mafuta katika mwaka wa fedha unaoanza Julai. Akitoa taarifa hiyo mjini Kampala hapo jana Alhamisi Waziri wa Nishati na Madini, ...
Watu sita wamefariki na watu wengine zaidi ya 30 hawajulikani waliko baada ya makazi yao kusombwa na maporomoko ya udongo katika wilaya ya Bududa, Mashariki mwa Uganda. Karibu kila mwaka, watu ...