Mwanaharakati wa Tanzania Maria Sarungi Tsehai anasema alitekwa nchini Kenya na watu wanne wasiojulikana na baadaye kuachwa ...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti ...
Amesema kura halali kwenye uchaguzi huo zilikuwa 1,917 na Wasira alipata kura 1,910 sawa na asilimia 99.42 ya kura zilizopigwa kwenye uchaguzi huo huku saba zikimkataa.
Akizungumzia adha hiyo kwa niaba ya wasafiri wenzake, John Kipingwa, alisema wamekaa katika kivuko kwa saa tano huku akiiomba serikali kuharakisha jitihada za kumaliza ujenzi wa Daraja la J.P.
Karibu nusu ya idadi ya watu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wanategemea misitu kwa chakula, nishati, afya, riziki na huduma za mfumo wa ikolojia kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa ...
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha ...
Baada ya Serikali ya Marekani kutoa tangazo jipya sasa kwamba itaendelea kufadhili huduma zinazolenga vita dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), shirika la Umoja wa Mataifa la kukabiliana na VVU na Ukimwi ...
Trump hakuelezea jambo hilo kwa kina. Aidha Trump alisisitiza kwamba mikutano yake mitatu aliyoifanya na Kim katika muhula wake wa kwanza mamlakani, iliyolenga kukuza kuondokana na silaha za ...
Hafla ya uapisho huo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mjini huku viongozi mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa na wa dini wakihudhuria hafla hiyo.
tutahitaji uwekezaji wenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 13, ambapo dola bilioni 5 zitapatikana kutoka sekta binafsi hapa nchini,” amesema Rais Samia. Rais Samia amesema hayo leo wakati ...
Picha: Ibrahim Joseph Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusufu Makamba akiwasili kuhudhuria mkutano mkuu wa maalumu wa chama hicho. Picha: Ibrahim Joseph Baadhi ya wahamasishaji wa CCM ...