Akizungumzia adha hiyo kwa niaba ya wasafiri wenzake, John Kipingwa, alisema wamekaa katika kivuko kwa saa tano huku akiiomba serikali kuharakisha jitihada za kumaliza ujenzi wa Daraja la J.P.
Karibu nusu ya idadi ya watu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wanategemea misitu kwa chakula, nishati, afya, riziki na huduma za mfumo wa ikolojia kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa ...
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha ...
Baada ya Serikali ya Marekani kutoa tangazo jipya sasa kwamba itaendelea kufadhili huduma zinazolenga vita dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), shirika la Umoja wa Mataifa la kukabiliana na VVU na Ukimwi ...
Hafla ya uapisho huo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mjini huku viongozi mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa na wa dini wakihudhuria hafla hiyo.
Trump hakuelezea jambo hilo kwa kina. Aidha Trump alisisitiza kwamba mikutano yake mitatu aliyoifanya na Kim katika muhula wake wa kwanza mamlakani, iliyolenga kukuza kuondokana na silaha za ...
tutahitaji uwekezaji wenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 13, ambapo dola bilioni 5 zitapatikana kutoka sekta binafsi hapa nchini,” amesema Rais Samia. Rais Samia amesema hayo leo wakati ...
Uhusiano umeimarika katika miezi minne iliyopita kufuatia mikutano ya ngazi ya juu, yakiwemo mazungumzo kati ya Rais wa China Xi Jinping na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi nchini Urusi mwezi ...
Picha: Ibrahim Joseph Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusufu Makamba akiwasili kuhudhuria mkutano mkuu wa maalumu wa chama hicho. Picha: Ibrahim Joseph Baadhi ya wahamasishaji wa CCM ...
Japani mpaka sasa imekataa wito kwamba ihudhurie mikutano ya kundi la mkataba kama mtazamaji. Mkutano wa tatu wa Mataifa yanayohusika katika Mkataba huo utafanyika katika makao makuu ya UN jijini ...
Ingawa ujenzi haujaanza, lakini kumekuwa na msururu wa mikutano na majadiliano kati ya wahusika katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Takribani watu milioni 600 waliopo Afŕika Kusini mwa ...
Biodiversity is the complex web that sustains all life, including human existence. Yet, this web is unravelling – 1 million of the world’s estimated 8 million species of plants and animals are ...