Kiongozi wa muda mrefu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kuwania nafasi ya mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, wakati huo Somalia ilimteua Fowsiya Yusuf Haji Aden, Naibu Waziri Mkuu na ...
Bw Raila Odinga ambaye alikuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Muungano wa Azimio la Umoja, sasa anamtaka Rais William Ruto, Naibu wake Rigathi Gachagua na serikali nzima ya Kenya Kwanza kuondoka ...