UBELGIJI imeeleza kumwita Ofisa Mkuu wa Ubalozi wa Rwanda mjini Brussels, siku chache baada ya waasi wa M23 kuuteka Mji wa Goma ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wizara ya Mambo ...