WAIMBAJI nyota wa muziki wa Injili, Christina Shusho na Ambwene Mwasongwe ni kati ya wasanii watakaolipamba tamasha la Mkono wa Bwana.
Siyo rahisi kuzungumzia safari ya msanii Marioo kwenye muziki bila kulitaja jina la mwigizaji Eva Nchedange ‘Lissah Actress’ ...
MWENYEKITI wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, leo Januari 30, 2025 amefanya kikao na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima, baada ...