Ufaransa itapendekeza rasimu ya azimio kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambayo inalenga "kuongeza shinikizo kwa ...
Ubovu wa barabara inayoelekea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga umekuwa kero kwa watumiaji wake, hususan madereva wa ...
Simba inarudi uwanjani wikiendi hii ikiwa ugenini ili kutaka kulinda hadhi iliyonayo ikiongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara ...
Kwa mujibu wa nchi zinazojiondoa, sasa zitapata uhuru mkubwa zaidi na pia uhuru kutoka kwa jeshi ambalo lina ajenda ya kigeni.
TIMU ya wanasheria wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) imewataka wananchi kuacha kuendekeza ...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameshauri serikali kuitisha Bunge la dharura kufanya marekebisho ya sheria za uchaguzi, akisisitiza msimamo wa chama hicho wa ‘ha ...
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Al Talaba ya Irak, Simon Msuva amesema bado anaikumbuka Morocco tangu aanze ...
Mataifa matatu ya Sahel ya Mali, Burkina Faso na Niger hii leo yamejitoa rasmi kwenye Jumuiya ya Kiuchumi Magharibi mwa ...
Nchi tatu zinazotawaliwa kijeshi za Niger Mali na Burkina Faso zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya kiuchumi na kisiasa ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS, baada ya kuwa wanachama kwa miongo mitano.
Mataifa ya Mali, Niger na Burkina yanayoongozwa na jeshi Afrika Magahribi yameondoka rasmi katika muungano wa nchi za ECOWAS, ...
Maandamano makubwa ya maelfu ya watu katika zinazoongozwa na jeshi zilifanyika siku ya Jumanne nchini Niger, Burkina Faso na ...
Siku chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uongozi mpya chini ya Tundu Lissu unakabiliwa na mambo matatu, ikiwemo kuvunja makundi na ...