MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Gibril Sillah amesema Simba na Yanga zinacheza kwa viwango vya juu, lakini inapotokea wanataka kucheza nazo kuna majina yanayowatisha kiasi cha kukaa chini na ...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameshauri serikali kuitisha Bunge la dharura kufanya marekebisho ya sheria za uchaguzi, akisisitiza msimamo wa chama hicho wa ‘ha ...
Nchi tatu zinazotawaliwa kijeshi za Niger Mali na Burkina Faso zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya kiuchumi na kisiasa ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS, baada ya kuwa wanachama kwa miongo mitano.
Siku chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), uongozi mpya chini ya Tundu Lissu unakabiliwa na mambo matatu, ikiwemo kuvunja makundi na ...