MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Gibril Sillah amesema Simba na Yanga zinacheza kwa viwango vya juu, lakini inapotokea wanataka kucheza nazo kuna majina yanayowatisha kiasi cha kukaa chini na ...
Nchi tatu zinazotawaliwa kijeshi za Niger Mali na Burkina Faso zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya kiuchumi na kisiasa ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS, baada ya kuwa wanachama kwa miongo mitano.