LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajia kurejea tena leo baada ya kusimama kwa muda kupisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Julius Nyerere ...
Ufaransa itapendekeza rasimu ya azimio kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambayo inalenga "kuongeza shinikizo kwa ...
Mataifa matatu ya Sahel ya Mali, Burkina Faso na Niger hii leo yamejitoa rasmi kwenye Jumuiya ya Kiuchumi Magharibi mwa ...
Kwa mujibu wa nchi zinazojiondoa, sasa zitapata uhuru mkubwa zaidi na pia uhuru kutoka kwa jeshi ambalo lina ajenda ya kigeni.
Nchi tatu zinazotawaliwa kijeshi za Niger Mali na Burkina Faso zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya kiuchumi na kisiasa ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS, baada ya kuwa wanachama kwa miongo mitano.
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Gibril Sillah amesema Simba na Yanga zinacheza kwa viwango vya juu, lakini inapotokea wanataka kucheza nazo kuna majina yanayowatisha kiasi cha kukaa chini na ...
Mataifa ya Mali, Niger na Burkina yanayoongozwa na jeshi Afrika Magahribi yameondoka rasmi katika muungano wa nchi za ECOWAS, ...
HII wikiendi ya kibabe kwelikweli kuanzia hapa nchini hadi Ulaya kuna mechi zinapigwa leo Jumamosi na kesho Jumapili huku ...
Waombolezaji hao wameongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda akiambatana na Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina ...
Maandamano makubwa ya maelfu ya watu katika zinazoongozwa na jeshi zilifanyika siku ya Jumanne nchini Niger, Burkina Faso na ...
Simba inarudi uwanjani wikiendi hii ikiwa ugenini ili kutaka kulinda hadhi iliyonayo ikiongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara ...