Rais John Magufuli wa Tanzania,amezindua ukuta wa machimbo ya madini ya Tanzanite, yaliyopo eneo la Mererani, kaskazini mwa nchini Tanzania. Ukuta huo ulijengwa ili kuzuia wachimbaji madini ...
Kifo cha aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kinaendelea kuleta simanzi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Katika ibada maalumu iliyojumuisha viongozi wa dini mbalimbali huko wilayani ...