MAWAZIRI kutoka nchi mbalimbali za Jumuiya ya Afrika Mashariki na watumiaji wakubwa wa nishati wanatarajia kukutana Jijini ...
ZAIDI ya ekari 1,000 za mazao katika Kijiji cha Makiba Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha zimekauka kwa ukame kutokana na ...
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yusuf Masauni amesema Serikali ya Tanzania imechukua hatua za kuimarisha ...
Korea Kaskazini inasema imefanikiwa kufanya jaribio la urushaji wa aina mpya ya kombora la balistiki la mwendokasi zaidi ya kasi ya sauti la masafa ya kati jana Jumatatu. Gazeti la chama tawala ...
Dar es Salaam. Hatua ya kuitwa wazabuni wa kusambaza gesi asilia katika mabasi 755 yatakayotoa huduma katika awamu ya pili ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), inatia moyo, lakini bado haitegui ...
Picha na Mgongo Kaitira. Mwanza. Dereva wa basi la Kisire linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Sirari mkoani Mara, Adam Charles (30) amepandishwa kizimbani na kusomewa shtaka la kuendesha gari ...