ABIRIA na watumiaji wa vyombo vya moto katika eneo la kivuko cha Kigongo-Busisi, mkoani Mwanza wamelazimika kuvunja geti na kupita daraja la dharura linakojengwa daraja kubwa la J.P Magufuli baada ya ...
Magufuli aombwe radhi? Ni kipindi ambacho, ukimsikiliza Lissu dhidi ya Mbowe, utatamani kumwomba msamaha Rais wa Tano wa Tanzania, Dk John Magufuli. Kumbe alisingiziwa kudhulumu uchaguzi Serikali za ...
Kituo Kikuu cha Treni ya Umeme SGR Dar es Salaam Ujenzi wa SGR ulianza mwaka 2017 kwa kipande cha kilometa 300 kinachoanzia Dar es Salaam kwenda Morogoro ambacho kilizinduliwa na Rais wa Awamu ya Tano ...
Kikao hicho kiliongozwa na Volkan Bozkir Rais wa baraza kuu la UN kilikuwa na ajenda kadhaa ikiwemo ya kutambua mchango wa Magufuli aliyefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo Machi 17, 2021.