Januari 15, 2019, aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, hayati John Magufuli alitoa agizo kwa aliyekuwa Waziri wa Maliasili na ...
ABIRIA na watumiaji wa vyombo vya moto katika eneo la kivuko cha Kigongo-Busisi, mkoani Mwanza wamelazimika kuvunja geti na kupita daraja la dharura linakojengwa daraja kubwa la J.P Magufuli baada ya ...
WAZIRI wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema Daraja la John Pombe Magufuli  (Kigongo-Busisi) linalounganisha mkoa wa Mwanza na ...
Umugambwe uri ku butegetsi muri Tanzania, CCM, waraye wemeje Perezida Samia Suluhu Hassan kugira ngo azowuserukire mu matora ...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku ya Jumapili, Januari 19, kwa kauli moja wamemteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ...
Hii leo, baadhi ya wajumbe waliokuwa wakitoa michango yao juu ya utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM walipendekeza ...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametaja kazi mbili alizo nazo kuwa ni kushinda ...
Kabla ya mkutano huo, leo kunatarajiwa kufanyika kikao cha Kamati Kuu na kufuatiwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) jijini humo. Akizungumza na waandishi wa habari katikaStesheni ya Magufuli Dar ...
Magufuli aombwe radhi? Ni kipindi ambacho, ukimsikiliza Lissu dhidi ya Mbowe, utatamani kumwomba msamaha Rais wa Tano wa Tanzania, Dk John Magufuli. Kumbe alisingiziwa kudhulumu uchaguzi Serikali za ...