WATU watano wamefikishwa mahakamani wilayani Iringa kwa mashtaka ya mauaji ya aliyekuwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo, Christina Kibiki. Miongoni mwa washtakiwa hao, wamo ...