Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti ...
Mbali na kuwa na wanachama pia utatakiwa kuanza kuhudhuria mikutano ya Grammy ya ana kwa ana pamoja na ile inayofanyika kwenye mitandao ili kujua taratibu na sheria za tuzo hizo. Pili mshiriki ...
Mkutano huo utakaofanyika Januari 18 na 19, 2025 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center, utafanya kazi ya kujaza nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho bara. Nafasi hiyo ...
Katika droo hiyo iliyochezeshwa juzi katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta Kenya, 'Kenyatta International Convention Centre' (KICC), itashuhudia nchi tatu zikiandaa michuano hiyo ya nane ...
Dkt. Biteko amesema hayo Januari 15, 2025 mara baada ya kukagua maandalizi ya Mkutano huo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam akiwa ameambatana na ...
Mwanaharakati wa Tanzania Maria Sarungi Tsehai anasema alitekwa nchini Kenya na watu wanne wasiojulikana na baadaye kuachwa ...
Kijana Mtanzania Gibson Kawago hivi karibuni kupitia kampuni yake ya WAGA inayoshughulika na uvumbuzi wa teknolojia zinazolenga kupambana na uchafuzi wa mazingira ya ulimwengu, ametangaza kuanzisha ...
Aidha, Julai 6, 2024 Bakita kwa kushirikiana na wadau wengine wa Kiswahili liliandaa Mjadala wa Wazi wa Mwanamke Hazina uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar ...
Tume hiyo ilianzishwa Mei Mosi, mwaka jana baada ya kupitishwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Na. 11, 2022. Wakati anaizindua katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), ...
Kipindi maalumu wakimbizi, wakimbizi wa ndani na wenyeji wao wanaeleza namna walivyonufaika na misaada ya Umoja wa Mataifa na mashirika yake na pia wanaeleza matumaini yao kwa mwaka ujao wa 2025.
Watafiti walipogundua kwanza kwamba miundo mikubwa ya lugha (LLMs) inaweza "kufikiri" hatua kwa hatua mlolongo wa mawazo, ilikuwa ni wakati wa mafanikio - hatimaye, tunaweza kuchungulia katika ...
Desemba 17 hadi 18, 2024 Mkutano wa 3 wa Kimataifa wa Uendeshaji, Roboti na Uhandisi wa Kompyuta Digital Desemba 19 hadi 21, 2024 Roboti, Uendeshaji otomatiki, na Akili Bandia (RAAI) Singapore, SG ...