Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti ...
Mbali na kuwa na wanachama pia utatakiwa kuanza kuhudhuria mikutano ya Grammy ya ana kwa ana pamoja na ile inayofanyika kwenye mitandao ili kujua taratibu na sheria za tuzo hizo. Pili mshiriki ...
Leo ni siku ya tatu tangu kutolewa tangazo la muafaka wa usitishaji uhasama Ukanda wa Gaza kati ya Israel na kundi la Palestina la Hamas, muafaka utakaoanza kutekelezwa mwishoni mwa wiki. Je raia wa ...
Luka Kim ndiye Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kamba, zana ya kisasa ya utafiti inayoendeshwa na AI iliyoundwa ili kurahisisha na kuboresha mchakato wa utafiti, kusaidia watumiaji kukamilisha ...
Mkutano huo utakaofanyika Januari 18 na 19, 2025 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center, utafanya kazi ya kujaza nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho bara. Nafasi hiyo ...
Ikiwa 2023 ndio mwaka ambao ulimwengu uligundua AI ya kuzalisha, 2024 ilishuhudia kuongezeka kwa AI ya mawakala - darasa jipya la mifumo ya uhuru iliyoundwa ili kufikia malengo katika mazingira magumu ...
Katika droo hiyo iliyochezeshwa juzi katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta Kenya, 'Kenyatta International Convention Centre' (KICC), itashuhudia nchi tatu zikiandaa michuano hiyo ya nane ...
Dkt. Biteko amesema hayo Januari 15, 2025 mara baada ya kukagua maandalizi ya Mkutano huo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam akiwa ameambatana na ...
Mwanaharakati wa Tanzania Maria Sarungi Tsehai anasema alitekwa nchini Kenya na watu wanne wasiojulikana na baadaye kuachwa ...
Kijana Mtanzania Gibson Kawago hivi karibuni kupitia kampuni yake ya WAGA inayoshughulika na uvumbuzi wa teknolojia zinazolenga kupambana na uchafuzi wa mazingira ya ulimwengu, ametangaza kuanzisha ...
Aidha, Julai 6, 2024 Bakita kwa kushirikiana na wadau wengine wa Kiswahili liliandaa Mjadala wa Wazi wa Mwanamke Hazina uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar ...