Mkuu wa kituo cha kudhibiti magonjwa barani Afrika, CDC ameonya kwamba mapigano katika Mji wa Goma nchini DRC yanaweza ...
Tarehe 24 January 2025 Rais Tshisekedi alikatiza ziara yake mjini Davos baada ya mapigano makali kuzuka nchini mwake.
Kiongozi wa Kundi la M23, Corneille Nangaa amesema baada ya kuukamata mji wa Goma, wataendelea na mapigano hadi mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa.
Umutwe wa M23 umaze iminsi itatu uri kugenzura Umujyi wa Goma nyuma yo gutangaza ko yawufashe. Kuva uwo munsi yatangaje ko ...
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ...
Mapigano kati ya vikosi vya serikali na waasi wanaoripotiwa kuungwa mkono na nchi jirani ya Rwanda yanaendelea nchini Jamhuri ...
UBELGIJI imeeleza kumwita Ofisa Mkuu wa Ubalozi wa Rwanda mjini Brussels, siku chache baada ya waasi wa M23 kuuteka Mji wa ...
Amakuru avuga ko imiryango yabo yari yegereye ubutegetsi bwa Romania isaba ko bugira icyo bukora ngo batahe mu mahoro.
Marekani imelitolewa wito Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kusitisha mashambulizi ya wanajeshi wa ...
GOMA : MAPIGANO katika mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, yamesababisha vifo vya watu 17 na ...
Makundi ya waasi wenye silaha nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, DRC yametangaza kuwa yamechukua udhibiti wa mji wa Goma ...
Mashambulizi ya M23 yaliyoanza wiki moja iliyopita nchini DRC yamebadilisha upepo wa hali ya usalama Mashariki mwa DRC.