Mama Samia ni Rais wa sita akiendeleza miaka mitano ya utawala wa Rais John Pombe ... kiliendelea kupeta. Magufuli akiwa Mwenyekiti wa chama alizunguka nchi nzima akifanya mikutano na kukutana ...
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, ambaye anatoka Chama cha Mapinduzi, kitaaluma ni mwalimu na mtalaamu wa kemia. Alizaliwa Oktoba 29 mwaka 1959 huko Chato mkoani Kagera, Kaskazini magharibi ...