Kiongozi wa muda mrefu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kuwania nafasi ya mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, wakati huo Somalia ilimteua Fowsiya Yusuf Haji Aden, Naibu Waziri Mkuu na ...
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema ataendelea kuongoza maandamano dhidi ya serikali kutaka gharama ya maisha kupunguzwa na kufunguliwa kwa seva za Tume ya Uchaguzi. Muungano wa ...