Maelezo ya picha, Rais aliyeondoka madarakani Uhuru kenyatta na mrithi wake William Ruto Siku 100 baaada ya Rais wa Kenya William Ruto kuchukua hatamu ya uongozi amekuwa mbioni kufanya kazi ya ...
Familia ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ambayo imetawala siasa za nchi hiyo tangu uhuru, ilimiliki kwa siri mtandao wa kampuni zilizofunguliwa katika maeneo yenye unafuu wa ulipaji ushuru kwa ...