Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Dkt Edward Hoseah, na pia akawasimamisha kazi maafisa wa nne wa ...
Rais wa Tanzania John Magufuli amesema kuwa chini ya uongozi wake wasichana wa shule ambao hujifungua watoto hawataruhusiwa tena kurudi shuleni, Rais magufuli alikuwa akizungumza wakati wa mkutano ...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku ya Jumapili, Januari 19, kwa kauli moja wamemteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ...
ABIRIA na watumiaji wa vyombo vya moto katika eneo la kivuko cha Kigongo-Busisi, mkoani Mwanza wamelazimika kuvunja geti na kupita daraja la dharura linakojengwa daraja kubwa la J.P Magufuli baada ya ...
Alitangaza kuwa angerudi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa marufuku dhidi ya mikutano ya hadhara ya kisiasa iliyowekwa na mtangulizi wake John Magufuli, ambaye utawala wake wa chuma ...
Uteuzi wa Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu mwaka huu umewasha taa ya ...