Mama Janeth Magufuli ana rekodi ya aina yake. Yeye alikuwa 'First Lady' wa tatu kuitwa Janeth katika nchi hiyo ya Afrika mashariki akitanguliwa na Janet au Janeth Museveni (Mke wa rais wa Uganda ...
Ijumaa Machi 26, 2021 wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watampumzisha aliyekuwa rais wa nchi hiyo Dkt John Pombe Magufuli katika makazi ya milele huko Chato mkoani Geita wakiwa na huzuni ...
ABIRIA na watumiaji wa vyombo vya moto katika eneo la kivuko cha Kigongo-Busisi, mkoani Mwanza wamelazimika kuvunja geti na kupita daraja la dharura linakojengwa daraja kubwa la J.P Magufuli baada ya ...
Alitangaza kuwa angerudi baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa marufuku dhidi ya mikutano ya hadhara ya kisiasa iliyowekwa na mtangulizi wake John Magufuli, ambaye utawala wake wa chuma ...