Mji wa Goma ulio mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umekuwa tena kitovu cha mzozo wa kikanda uliodumu kwa miongo ...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya mkutano wa dharura baadaye leo kujadili mzozo unaoongezeka mashariki mwa ...
Kiongozi wa Muungano wa Mto Kongo (AFC), Corneille Nangaa, amesema kuwa kundi hilo halipiganii madini wala rasilimali yoyote ...
Kiongozi wa kisiasa wa kundi la waasi la M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Corneille Nangaa, amesema kamwe ...
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ...
Jumuiya ya kimataifa imeitaka Rwanda kuondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusitisha uungaaji wake mkono kwa waasi wa M23 wanaosema kwamba wanalenga kusonga mbele hadi mji m ...
Milio ya risasi ya hapa na pale imesikika katika viunga vya mji wa Goma Jumatano hii, Januari 29, ambapo M23 na jeshi la ...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mapigano kati ya jeshi la DRC na wapiganaji wa M23, kundi lenye silaha ...
KUNDI la waasi la M23, limesema wanajipanga kusonga mbele na kuuteka pia mji mkuu wa Kinshasa licha ya kufanikiwa kuteka mji ...
Mapigano kati ya vikosi vya serikali na waasi wanaoripotiwa kuungwa mkono na nchi jirani ya Rwanda yanaendelea nchini Jamhuri ...
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) imeiagiza Rwanda kufunga shughuli zake zote za kidiplomasia na kibalozi nchini humo ...