Mazao ya chai nchini Kenya mwaka huu yanatabiriwa kupungua kwa kiasi kikubwa kutokana na hali ya ukame mwaka jana. Kenya inaongoza duniani katika uuzaji wa chai hivyo hali hii itaathiri soko la ...
Msimamizi wa shamba la majani chai aliyeangaziwa katika ufichuzi wa BBC Africa Eye na Panorama nchini Kenya kuhusu sakata ya unyanyasaji wa kingono, amechaguliwa kuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya chai ...